Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Kuna jamaa hapa ameshika uku down sijajua ni shabiki wa tim gani, ebu leteni update nimtambue fasta
 
Dakika ya 80 Yanga wanagongeana vizuri hatimae simba wanatoa mpira unakuwa wa kurushwa
 
Dakika ya 82 Mzamiru Yassin anapiga mpira pale lakini unapotea inakuwa goal kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…