Asante jose ubarikiwe kazi nzuri sana [emoji122]FULL TIME Yanga 1 Simba 1
FULL TIME Yanga 1 Simba 1
Ko timu yako ni ipi...Madame sakayo nitakufungulia kesi labda ngoma iishe vizuri nishinde
Ok pande hiziz ndio tunamka sasa,Nimesikia moja moja..Niko home mie
Aisee...Ok pande hiziz ndio tunamka sasa,Nimesikia moja moja..
Kwasababu naongoza hamna shida kesi nimeifuta. Kwa mamlaka nilionayo mimi kama mnyama anaetusha mwituni kulikk wote natangaza kuwa uko huru,Ko timu yako ni ipi...
Bhana me yanga mpk navishwa sanda
Shukrani sana mkuuJoseverest hongera sana mkuu umefanya kama mzalendo tena wa jf
Pamoja sana mkuu tuko pamoja