Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Mimi nawasanifu hawa mikia fc,mbeleko fc, maiti iliyopiga chafya motuary,,,mimi nibwa kimataifa damu damu,,,hakya Mungu Martin au Mwashiuya wangekuwa makini,leo Manara na Omog ingekuwa bye byeeee
FB_20171028_15_47_48_Saved_Picture.jpg
 
Simba hela zao za usajili wangewapa familia ya Mafisangi akina Mkude,Ndemla,Eddo Christopher,Mbaraka yusuf,baba ubaya, Ajib nk ni kizazi cheap na kingeleta mabadiliko
 
Back
Top Bottom