Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji122] [emoji122] boyAsante homeboy! Eeeka mbeeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] boyAsante homeboy! Eeeka mbeeh!
Ni sahihi kushangilia sare maana wapo away leo.Simba wanashangilia sare hapa!
Ahsante sana Dada Shunie[emoji106]Asante jose ubarikiwe kazi nzuri sana [emoji122]
Simba leo wametudhalilisha sana sisi wana msimbavu.Nini tena ?? Kwani wewe ni Nishabiki wa CHURA ??
Mkeka umechanikaMatokeo leo ni mbili 1 simba mbili yanga moja
Source:mganga flan hv wa simba
PoleniSimba leo wametudhalilisha sana sisi wana msimbavu.
Dar es salaam? Hiki ndio kikosi cha Billioni moja?Ni sahihi kushangilia sare maana wapo away leo.
Yeah mkuuu ndio hivyoHongera mkuu kumbe unafika adi pande izi za soka na uko vizur
Mimi nawasanifu hawa mikia fc,mbeleko fc, maiti iliyopiga chafya motuary,,,mimi nibwa kimataifa damu damu,,,hakya Mungu Martin au Mwashiuya wangekuwa makini,leo Manara na Omog ingekuwa bye byeeeePoleni
1-1Matokeo vip
Wala hata usihofie...Nna presha hatari
Mimi nawasanifu hawa mikia fc,mbeleko fc, maiti iliyopiga chafya motuary,,,mimi nibwa kimataifa damu damu,,,hakya Mungu Martin au Mwashiuya wangekuwa makini,leo Manara na Omog ingekuwa bye byeeee
Tuko pamoja Mwana Jangwani mwenzanguUpo mubashara Kabisa.......safi sana mwana yanga mwenzangu
Kwa simba FcWapi?pale kwenye vyura?