Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Kutoka uwanja wa huru, hayo ndiyo matokeo!! Hakuna namna.
 
Tupia hapa yanayojiri uwanja wa Uhuru mechi ya watani wa jadi, SIMBA VS YANGA
 
Wachezaji wa Team zote mbili wameshaingia uwanjani..muda wowote game inaanza
 
Mpaka sasa simba anaonekana bora maana ashafika langoni kwa yanga mara 3 mavugo anakosa utulivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…