Ndio umeambiwa na mganga wenu???Yanga atashinda mbili moja
Kwa nini??Omog kazi anayo.
Ahahahhhh josse kazi unayo huyu sijui wa ngapi anakwambia we modkweli mkuu Joseverest ni mod siku hizi
Ahahahhhh josse kazi unayo huyu sijui wa ngapi anakwambia we mod
Yaani acha tuAhahahhhh josse kazi unayo huyu sijui wa ngapi anakwambia we mod
hamna mkuu..nipo nacheki kwenye TV tukweli mkuu Joseverest ni mod siku hizi
Jose unanipa raha Kijana Mie nipo njiani from ar to Moro so Napata update from uKona haijazaa matunda imetoka nje kwa hiyo ni Goal kick
Ahahhahah nakaaje mbali mnyama anachezea mzima lakini kuna mtu nilimfananisha na wewe avatar yake imefanana na yako nilihisi umechange id
Kwenye fursa za soka hukai mbal kabisa mama Lee.
Nakusoma ile ile.
Ahahhaha ni changamoto ndio jf hiyoYaani acha tu
yap yap ni kweli Dada yangu..nimezoeaAhahhaha ni changamoto ndio jf hiyo
[emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji56] [emoji56] tuko pamoja sanaJose unanipa raha Kijana Mie nipo njiani from ar to Moro so Napata update from u
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app