Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Hapa [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] lazima afe Kavukavu tu bila Ya Ndomu..
 
Dakika ya 40 bado 0-0 Yanga wanapata mpira wa kurusha lakini Erasto nyoni anafanyiwa faulo na Chirwa
 
Yanga wanakosea hapa Simba wanaupata mpira hapa lakini mpira ule unaokolewa
 
Dakika ya 44 simba wanashambulia goli la Yanga lakini shambulizi lao linaokolewa
 
Back
Top Bottom