Ligi kuu Tanzania Bara: Yanga Afrika 3 - 0 JKT Tanzania

Kwa hyo simba ndo imezaliwa 2018 eti!
Yanga mmezaliwa mwaka 1935, msimu uliopita wa klabu bingwa barani Africa mlishiriki na hamkutwa ubingwa zaidi ya kutudhalilisha hilo unalionaje? Hatua ambayo simba imeshafika kwenye mashindano haya ndala hamjawahi ata kuota kuyafikia, hivyo kila tunapokamilisha lengo moja ndio tunaanza lengo jingine, hivyo tutakapofikia kwenye hatua ya makundi ndio tutaweka lengo jingine.
 
fikirieni kuifanya yanga ijiendeshe kibiashara....... achaneni na wale wacheza bao wanaotegemea kula yao yanga!
Mtu anashindwa kuendesha familia yake anaangalia uwezekano wa kuendesha familia ya jirani, ndala fc wasipopewa msaada wa haraka wanaweza kuwehuka kabisa.
 
Hatua gani mliyofika kwenye haya mashindano ambayo sisi Young Africans Football Club The Citizens Team hatujafika?
 
Hatua ya juu tuliyowahi kufika ni nusu fainali, nyie hamjawahi ata kuinusa.
 
Mwaka Jana umefanya mini LA maana, au shirikisho alituwakilisha Mbao, inawezekana kumbukumbu zangu haziko sawa.
Hakika tutafanya vyema kabisa mkuu, hatuwezi kuwaangusha watanzania kama yanga ilivyofanya, sisi ni tofauti kabisa.
 
Hawana ubavu huo, hao raundi ya kwanza tu, wanarudi vichwa chini, wanakuta timeishajichimbia juu kileleni, hapo ndiyo watachoka mbaya.
Tunawatakia kila kheri katika michuano hiyo mikubwa muweze kutuwakilisha vyema Wakuu!!!
 
Ooh, unaita maajabu! yaani haitegemewi, hiyo ni sawa.
Weenzetu wataona maajabu maana walianza na msimu huu yanga atashuka daraja, wakaja na ligi iko mwanzo, aanze kwenda mikoani na sasa wanasema upepo unapita, kwa kauli zote hizi wewe bado hujaona kuwa hao wenzetu wataona maajabu yanga kuondoka na kombe wakati wao walitegemea ashuke daraja?.
 
Mwaka Jana umefanya mini LA maana, au shirikisho alituwakilisha Mbao, inawezekana kumbukumbu zangu haziko sawa.
Mwaka jana hatukuwa na maandalizi ya kutosha kwenye hiyo michuano, nafikiri kwa mwaka huu umeona maandalizi ya kutosha kuanzia kwenye uwekezaji mpaka usajili, kila kitu kinaenda sawia kwa upande wetu hofu kwenu nyie walalahoi.
 
Acha waendelee kutudharau ss tunasonga mbele
 
Sikutegemea kama Yanga wangeweza kuwachana JKT goli zote hizo. Hongera kwao
 
Mwaka jana hatukuwa na maandalizi ya kutosha kwenye hiyo michuano, nafikiri kwa mwaka huu umeona maandalizi ya kutosha kuanzia kwenye uwekezaji mpaka usajili, kila kitu kinaenda sawia kwa upande wetu hofu kwenu nyie walalahoi.
Naona bado mnasajili Mkuu maana kuna Wa Ivory Coast na Wanigeria kibao waliokosa soko kule kwao wamekuja Dar kuvuna mihela ya MO Dewji.
 
Siku MO Dewji akistuka kuwa hela zake zinapotea bure atawaacha solemba kama African Lyon ndio mtatia akili.
 
MO dewji sio kichaa awekeze mahali bila kufanya feasibility study ya kutosha, simba ni brand kubwa na MO ametizama mbali na kaiona fursa kubwa ya kuwekeza simba, amini hela yake itarudi vizuri.
 
Pesa ya kufanya usajili wowote ule tunayo kwa nini tusifanye hivyo? Nasikia mmeshindwa kumalizana na Kakolanya na Yondan mpaka leo, msione aibu kuja kuomba msaada upande wa pili, tuko tayari kuwasaidia.
 
Subirini siku MO Dewji akiachia Timu mtaniambia vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…