severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Ha ha ha hata mtu anayetaka kufa hutapatapa sana ndipo anakata roholigi yetu ina mapungufu makubwa sn, how comes mtu anakua na viporo 3?
something is wrong!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha hata mtu anayetaka kufa hutapatapa sana ndipo anakata roholigi yetu ina mapungufu makubwa sn, how comes mtu anakua na viporo 3?
something is wrong!
Yanga mmezaliwa mwaka 1935, msimu uliopita wa klabu bingwa barani Africa mlishiriki na hamkutwa ubingwa zaidi ya kutudhalilisha hilo unalionaje? Hatua ambayo simba imeshafika kwenye mashindano haya ndala hamjawahi ata kuota kuyafikia, hivyo kila tunapokamilisha lengo moja ndio tunaanza lengo jingine, hivyo tutakapofikia kwenye hatua ya makundi ndio tutaweka lengo jingine.Kwa hyo simba ndo imezaliwa 2018 eti!
Mtu anashindwa kuendesha familia yake anaangalia uwezekano wa kuendesha familia ya jirani, ndala fc wasipopewa msaada wa haraka wanaweza kuwehuka kabisa.fikirieni kuifanya yanga ijiendeshe kibiashara....... achaneni na wale wacheza bao wanaotegemea kula yao yanga!
Hatua gani mliyofika kwenye haya mashindano ambayo sisi Young Africans Football Club The Citizens Team hatujafika?Yanga mmezaliwa mwaka 1935, msimu uliopita wa klabu bingwa barani Africa mlishiriki na hamkutwa ubingwa zaidi ya kutudhalilisha hilo unalionaje? Hatua ambayo simba imeshafika kwenye mashindano haya ndala hamjawahi ata kuota kuyafikia, hivyo kila tunapokamilisha lengo moja ndio tunaanza lengo jingine, hivyo tutakapofikia kwenye hatua ya makundi ndio tutaweka lengo jingine.
Hatua ya juu tuliyowahi kufika ni nusu fainali, nyie hamjawahi ata kuinusa.Hatua gani mliyofika kwenye haya mashindano ambayo sisi Young Africans Football Club The Citizens Team hatujafika?
Hakika tutafanya vyema kabisa mkuu, hatuwezi kuwaangusha watanzania kama yanga ilivyofanya, sisi ni tofauti kabisa.
Tunawatakia kila kheri katika michuano hiyo mikubwa muweze kutuwakilisha vyema Wakuu!!!
Time is the Good Teacher Mkuu!!!Hakika tutafanya vyema kabisa mkuu, hatuwezi kuwaangusha watanzania kama yanga ilivyofanya, sisi ni tofauti kabisa.
viporo vya Yanga vilitokana na Taifa stars kuweka kambi..ila vya Simba vya kuogopa mechi kama na Biasharaligi yetu ina mapungufu makubwa sn, how comes mtu anakua na viporo 3?
something is wrong!
Wazee wa ligi bado ipo mwanzo waje waone maajabu ya yanga siku wakiambiwa ligi ipo mwisho wasije wakaanza kumtafuta mchawi
Weenzetu wataona maajabu maana walianza na msimu huu yanga atashuka daraja, wakaja na ligi iko mwanzo, aanze kwenda mikoani na sasa wanasema upepo unapita, kwa kauli zote hizi wewe bado hujaona kuwa hao wenzetu wataona maajabu yanga kuondoka na kombe wakati wao walitegemea ashuke daraja?.Ooh, unaita maajabu! yaani haitegemewi, hiyo ni sawa.
Mwaka jana hatukuwa na maandalizi ya kutosha kwenye hiyo michuano, nafikiri kwa mwaka huu umeona maandalizi ya kutosha kuanzia kwenye uwekezaji mpaka usajili, kila kitu kinaenda sawia kwa upande wetu hofu kwenu nyie walalahoi.Mwaka Jana umefanya mini LA maana, au shirikisho alituwakilisha Mbao, inawezekana kumbukumbu zangu haziko sawa.
Acha waendelee kutudharau ss tunasonga mbeleTimu ya mpira wa miguu Yanga Afrika imbeibuka na ushindi wa magoli matatu huku vyavu zao zikiwa hazijaguswa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo(dk 20), Mrisho Ngassa(dk 53) na Ajibu Migomba(dk 79).
Ushindi huo unaifanya Yanga ifikishe pointi 35 baada ya michezo 13 na kuongoza ligi.
Sikutegemea kama Yanga wangeweza kuwachana JKT goli zote hizo. Hongera kwaoTimu ya mpira wa miguu Yanga Afrika imbeibuka na ushindi wa magoli matatu huku vyavu zao zikiwa hazijaguswa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo(dk 20), Mrisho Ngassa(dk 53) na Ajibu Migomba(dk 79).
Ushindi huo unaifanya Yanga ifikishe pointi 35 baada ya michezo 13 na kuongoza ligi.
Naona bado mnasajili Mkuu maana kuna Wa Ivory Coast na Wanigeria kibao waliokosa soko kule kwao wamekuja Dar kuvuna mihela ya MO Dewji.Mwaka jana hatukuwa na maandalizi ya kutosha kwenye hiyo michuano, nafikiri kwa mwaka huu umeona maandalizi ya kutosha kuanzia kwenye uwekezaji mpaka usajili, kila kitu kinaenda sawia kwa upande wetu hofu kwenu nyie walalahoi.
Siku MO Dewji akistuka kuwa hela zake zinapotea bure atawaacha solemba kama African Lyon ndio mtatia akili.Mwaka jana hatukuwa na maandalizi ya kutosha kwenye hiyo michuano, nafikiri kwa mwaka huu umeona maandalizi ya kutosha kuanzia kwenye uwekezaji mpaka usajili, kila kitu kinaenda sawia kwa upande wetu hofu kwenu nyie walalahoi.
MO dewji sio kichaa awekeze mahali bila kufanya feasibility study ya kutosha, simba ni brand kubwa na MO ametizama mbali na kaiona fursa kubwa ya kuwekeza simba, amini hela yake itarudi vizuri.Siku MO Dewji akistuka kuwa hela zake zinapotea bure atawaacha solemba kama African Lyon ndio mtatia akili.
MO dewji sio kichaa awekeze mahali bila kufanya feasibility study ya kutosha, simba ni brand kubwa na MO ametizama mbali na kaiona fursa kubwa ya kuwekeza simba, amini hela yake itarudi vizuri.Siku MO Dewji akistuka kuwa hela zake zinapotea bure atawaacha solemba kama African Lyon ndio mtatia akili.
Pesa ya kufanya usajili wowote ule tunayo kwa nini tusifanye hivyo? Nasikia mmeshindwa kumalizana na Kakolanya na Yondan mpaka leo, msione aibu kuja kuomba msaada upande wa pili, tuko tayari kuwasaidia.Naona bado mnasajili Mkuu maana kuna Wa Ivory Coast na Wanigeria kibao waliokosa soko kule kwao wamekuja Dar kuvuna mihela ya MO Dewji.
Subirini siku MO Dewji akiachia Timu mtaniambia vizuriPesa ya kufanya usajili wowote ule tunayo kwa nini tusifanye hivyo? Nasikia mmeshindwa kumalizana na Kakolanya na Yondan mpaka leo, msione aibu kuja kuomba msaada upande wa pili, tuko tayari kuwasaidia.