OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Unaelewa maana ya FT?
Habari ndiyo hiyo. Ile baiskeli ya mbao imeanza kulegea. Coastal ilitangulia kupiga goli kipindi cha kwanza kabla ya Yanga kuchomoa.
Coastal imecheza ikiwa pungufu.
hao al ahly wanawajua yanga 2014 chupu chupu kama si utoto wa Bahanuzi walikuwa wanafungasha virago tena kwao.Kama hali ikiendelea hivi kuna uwezekano mkubwa Simba au Azam wakawafikia ingawa mimi natamani sana Yanga msimu huu wachukue ubingwa mwakani wakatuwakilishe na wao tuone. Wakacheze na kuwafunga Al Ahly, As Vita na Nkana kama watakuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawahao al ahly wanawajua yanga 2014 chupu chupu kama si utoto wa Bahanuzi walikuwa wanafungasha virago tena kwao.
yanga ndo mkombozi pekee aliye baki
Safi kabisa, yanga wanachoweza ni kula matango[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Habari ndiyo hiyo. Ile baiskeli ya mbao imeanza kulegea. Coastal ilitangulia kupiga goli kipindi cha kwanza kabla ya Yanga kuchomoa.
Coastal imecheza ikiwa pungufu.
Mh.. Yanga nao washaanza kudevera hzi sare sio poa hata nn...
Yanga hii iliyoshiriki miaka kama mitano mfululizo bila hata kunusa makundi ya club bingwa ndio awe mkombozi serious?hao al ahly wanawajua yanga 2014 chupu chupu kama si utoto wa Bahanuzi walikuwa wanafungasha virago tena kwao.
yanga ndo mkombozi pekee aliye baki
Makundi CAF ya CONFEDERATION CUP Simba ndio alishiriki mwaka jana, kuwa makini na unachopostYanga hii iliyoshiriki miaka kama mitano mfululizo bila hata kunusa makundi ya CAF ndio awe mkombozi serious?
Sent using Jamii Forums mobile app