Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga yailazimisha Coastal Union sare ya goli 1-1 katika Uwanja wa Mkwakwani

Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga yailazimisha Coastal Union sare ya goli 1-1 katika Uwanja wa Mkwakwani

Kama hali ikiendelea hivi kuna uwezekano mkubwa Simba au Azam wakawafikia ingawa mimi natamani sana Yanga msimu huu wachukue ubingwa mwakani wakatuwakilishe na wao tuone. Wakacheze na kuwafunga Al Ahly, As Vita na Nkana kama watakuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndiyo hiyo. Ile baiskeli ya mbao imeanza kulegea. Coastal ilitangulia kupiga goli kipindi cha kwanza kabla ya Yanga kuchomoa.

Coastal imecheza ikiwa pungufu.

February 16 ndipo tutathibitisha kama ni baiskeli ya mbao...wakati huo kuna watu watakuwa wamecheza na Mwarabu Dar es Salaam...hapo ndipo msemaji mropokaji atakapomwaga unga
 
Kama hali ikiendelea hivi kuna uwezekano mkubwa Simba au Azam wakawafikia ingawa mimi natamani sana Yanga msimu huu wachukue ubingwa mwakani wakatuwakilishe na wao tuone. Wakacheze na kuwafunga Al Ahly, As Vita na Nkana kama watakuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
hao al ahly wanawajua yanga 2014 chupu chupu kama si utoto wa Bahanuzi walikuwa wanafungasha virago tena kwao.

yanga ndo mkombozi pekee aliye baki
 
Habari ndiyo hiyo. Ile baiskeli ya mbao imeanza kulegea. Coastal ilitangulia kupiga goli kipindi cha kwanza kabla ya Yanga kuchomoa.

Coastal imecheza ikiwa pungufu.
Safi kabisa, yanga wanachoweza ni kula matango[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Fisi Fc wamekula hamsa kule misiri nadhani watavunja rekodi ya kuwa timu yenye kapu la magoli kwenyew CA F champions league hapa TZ Manaraaaaaaaaaaa hoyeeeeeeee !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao al ahly wanawajua yanga 2014 chupu chupu kama si utoto wa Bahanuzi walikuwa wanafungasha virago tena kwao.

yanga ndo mkombozi pekee aliye baki
Yanga hii iliyoshiriki miaka kama mitano mfululizo bila hata kunusa makundi ya club bingwa ndio awe mkombozi serious?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zahera analia kucheza dar mechi nyingi mzunguko wa kwanza,kwamba ratiba inambana round ya 2.
Sisi tunasema endeleeni kuangusha point.
 
Vijana walichoka baada ya mechi ya alhamisi na biashara mechi iliyochezwa mpaka extra time halafu wakasafiri tanga ratiba imebana sana kwa Yanga wakati simba anapewa wiki mbli au moja kupumzika . Michael wambura kwenye mahojiano na tbc nimemwelewa sana
 
Back
Top Bottom