Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga yailazimisha Coastal Union sare ya goli 1-1 katika Uwanja wa Mkwakwani

Yanga inategemea hirizi
 
Fisi Fc wamekula hamsa kule misiri nadhani watavunja rekodi ya kuwa timu yenye kapu la magoli kwenyew CA F champions league hapa TZ Manaraaaaaaaaaaa hoyeeeeeeee !

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka ile sio ligi kuu ya bongo, ni mashindano ya kutafuta klabu bingwa ya Afrika.
 
Ila siku hizi yanga wanajua kupigana aisee.Kila mechi lazima wakichafue sijui kwanini tunawaacha akina cheka wanaumizzwa wakati kuna timu kamili kabisa ya ndondi.
 
SIO MBAYA
 
Yanga inategemea hirizi
sio kweli mkuu. Mimi naamini katika technique za mwalimu na mazoezi . Ingekuwa hivyo Nigeria ingebeba kombe la dunia au Gambia au timu yoyote ya afrika na Italy au Germany au England au France au Spain wasingefanikiwa World Cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…