Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga yailazimisha Coastal Union sare ya goli 1-1 katika Uwanja wa Mkwakwani

Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga yailazimisha Coastal Union sare ya goli 1-1 katika Uwanja wa Mkwakwani

Vijana walichoka baada ya mechi ya alhamisi na biashara mechi iliyochezwa mpaka extra time halafu wakasafiri tanga ratiba imebana sana kwa Yanga wakati simba anapewa wiki mbli au moja kupumzika . Michael wambura kwenye mahojiano na tbc nimemwelewa sana
Yanga inategemea hirizi
 
Fisi Fc wamekula hamsa kule misiri nadhani watavunja rekodi ya kuwa timu yenye kapu la magoli kwenyew CA F champions league hapa TZ Manaraaaaaaaaaaa hoyeeeeeeee !

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka ile sio ligi kuu ya bongo, ni mashindano ya kutafuta klabu bingwa ya Afrika.
 
Ila siku hizi yanga wanajua kupigana aisee.Kila mechi lazima wakichafue sijui kwanini tunawaacha akina cheka wanaumizzwa wakati kuna timu kamili kabisa ya ndondi.
 
Vijana walichoka baada ya mechi ya alhamisi na biashara mechi iliyochezwa mpaka extra time halafu wakasafiri tanga ratiba imebana sana kwa Yanga wakati simba anapewa wiki mbli au moja kupumzika . Michael wambura kwenye mahojiano na tbc nimemwelewa sana
SIO MBAYA
 
Yanga inategemea hirizi
sio kweli mkuu. Mimi naamini katika technique za mwalimu na mazoezi . Ingekuwa hivyo Nigeria ingebeba kombe la dunia au Gambia au timu yoyote ya afrika na Italy au Germany au England au France au Spain wasingefanikiwa World Cup
 
Back
Top Bottom