Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Watoto wakino wafanye kweliKila la kheri KMC
Ndio hivyo Mkuu,vijana naamini hawawezi kutuangusha!Watoto wakino wafanye kweli
Ndio imebakia 1 amaMatokeo ni 2-0 kama jana...mshindi anajulikana ni nani....
Ndio imebakia 1 ama
[emoji23]bora nawe ni KMCNdiyo ila itabidi wasipaki basi vinginevyo mambo yanaweza kubadilika vibaya
Naona mmesawazishamatokeo ni dakika 20 za mwisho za kipindi cha pili