[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wakimataifa kama kawaida yetu.. Tunangojea MTU aanze kutangulia tu, hapo anakuwa ameshajikatia ticket ya kufungwa
Mwenye updates please aziweke hapa...Leo niko sehemu isio nzuri mtandao unasumbua.
Kila la heri Yanga yetu
Mikia FC walipewa.Hawa KMC magoli haya wangekuwa wamecheza na Simba wangeambiwa wameuza mechi, Beki anadive kabisa kujipiga mwenyewe goli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Kweli mlifanya hivyo na Simba tarehe 16 Februari sijui mechi iliishaje?Wakimataifa kama kawaida yetu.. Tunangojea MTU aanze kutangulia tu, hapo anakuwa ameshajikatia ticket ya kufungwa
Hawa KMC magoli haya wangekuwa wamecheza na Simba wangeambiwa wameuza mechi, Beki anadive kabisa kujipiga mwenyewe goli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha wa KMC mwangali kwa umakini mchezaji wako Beki Ali Ali.
Mechi ya kwanza ndiye aliyesababisha goli dakika ya 90, kwa kumfanyia faulo ya makusudi, Makambo karibu ya 18. Feitoto akafunga goli.
Mechi ya pili anafunga goli yeye mwenyewe kuwasaidia Yanga fc goli moja.
Angeacha ile krosi ingetoka na kuwa Goal Kik.
Mpeleke hata kwa mkopo Ali Ali Yanga fc.
Ndio timu yake pendwa.
La sivyo atakughalimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaseja alizubaa kudakaHawa KMC magoli haya wangekuwa wamecheza na Simba wangeambiwa wameuza mechi, Beki anadive kabisa kujipiga mwenyewe goli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto halali na hela Yanga 2-1KCMCMwenye updates please aziweke hapa...Leo niko sehemu isio nzuri mtandao unasumbua.
Kila la heri Yanga yetu
Mkuu bado upo kmc? Au umerudu timu yako ya zamani baada ya matokeoNdiyo ila itabidi wasipaki basi vinginevyo mambo yanaweza kubadilika vibaya
Mkuu bado upo kmc? Au umerudu timu yako ya zamani baada ya matokeo
Kwa unafiki wa soka unachange tu,mbona taifa mikia wenzio walikuwa kmcMimi sikumbuki kuwa ninayo timu yangu ya "zamani"...labda tukiwa sekondari nilikuwa nachezea timu ya 'Santos" kama namba kumi...shuleni kwetu tuliunda timu mbalimbali...Ninachoelewa mimi timu ni sawa na kabila...hivi kama mimi ni Mmakonde kwa mfano naweza nikabadili kabila na kujiita 'Myao'??...Halafu eti baadaye nije niseme zamani nilikuwa 'mmakonde'?????!!!
Kwa unafiki wa soka unachange tu,mbona taifa mikia wenzio walikuwa kmc