Wale lambwa lambwa timu lenu limedroo na ruvu,msuvaaaa
Kama unaona kuloga kunalipa, logeni tuone kama mtashinda.
Kotinyo katoka kaingia mrwanda
ha ha ha ha ha ha ha umenimwaga live....anyway nitaongea na shemeji mtarajiwa Katavi nione cha kufanya...
Kotinyo katoka kaingia mrwanda
Ndagha fijo mundu gwa Kyala!
Siku nyingine utumie tools ambazo ziko hapo juu.
NaOH + HCl = NaCl + H[SUB]2[/SUB]O
Hivi matokeo ya mechi yalikuwaje?Kwanza mikia wamekamatana uchawi wenyewe kwa wenyewe gemu ya juzi Moro.
Kotinyo katoa assist 3 zote
Mechi imekwisha?
Ha ha haaaaa..!!!! Bantu Lady! Halafu wewee!!!Sasa nakumimina kabisa ha ha hahhaaa, yamekuwa hayo siku hizi!!! kuna shemeji mtarajiwa. Mimi sitaki full msimamo hapa
dakika ya ngapi hiyo..
Sasa nakumimina kabisa ha ha hahhaaa, yamekuwa hayo siku hizi!!! kuna shemeji mtarajiwa. Mimi sitaki full msimamo hapa
Upijile ndagha malafyale!