Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

Ha ha haaaaa anamwambia mtu mwingine bana, sema unaingia na gear hiyo ili uwe shemeji yake. Ila mimi sitaki....

ha ha ha ha ha ha ha umenimwaga live....anyway nitaongea na shemeji mtarajiwa Katavi nione cha kufanya...
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha umenimwaga live....anyway nitaongea na shemeji mtarajiwa Katavi nione cha kufanya...

Sasa nakumimina kabisa ha ha hahhaaa, yamekuwa hayo siku hizi!!! kuna shemeji mtarajiwa. Mimi sitaki full msimamo hapa
 
Last edited by a moderator:
Kweli wajelajela leo wamekutana na mbabe wao ahswa.
 
Back
Top Bottom