Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

yanga mbili, Prison wanajifunga hapa! naona prisona wapo chini ya kiwango kabisa, Mpesa zinafanya kazi
 
Natuma salamu Azam FC na Mikia SC.
Ujumbe hii ndiyo Yanga na ndio tunaongoza ligi, mpaka dakika hii.
 
Haaaaaa...magoli mawili tayari? hawa Prisons wanazingua
 
Mashabiki wa magereza siwaoni jamvini au hawana bando?
 
Back
Top Bottom