Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
Half time yanga 2-0 prison
Ulipotea mkuu,nilifikiri wamekuibia tiketi yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Half time yanga 2-0 prison
J1 mtacheza wenyewe sisi tutawakandamiza J2.
achana na huyo dada kavurugwa.....!!
haina shida mkuu. maumivu ya yanga kufungwa na mcc yatakuwa makali zaidi ya ile sare ya 3-3 na simba. the day has come siyo mbali
Bado 1 la tambwe
Wacha washuke daraja tu hao 2ajela jela. Wanyakyusa wana jeuri kweli. Bora maji mani yetu imepanda daraja. Watakomaje!
Prisons wamejikosakosa
NaOH + HCl = NaCl + H2O
Kabisa my kaka, nimekumiss kaka yangu hope uko okay.
Yaani Zamaulid atakuja faster...
Yaani raha kucheza game na watu kama hawa, full ushirikiano kutusaidia kuongeza magoli.
haina shida mkuu. maumivu ya yanga kufungwa na mcc yatakuwa makali zaidi ya ile sare ya 3-3 na simba. the day has come siyo mbali