natamani game la shinyanga liishe sasa hivi...
Wamepata sehemu ya kukaa??
Hata kama ni kusubiri lakini itafika tu nafasi yetu.bro Masuke mnaweza kusubiri sana hiyo kutokea...
Kambarage bado 1-0 dakika ya 62.
Kama mimi tu
Wachezaji wetu wana huzuni si unajua tuna msiba, jembe letu Christopher Alex ametutoka.
Hivi ni wewe au nakufananisha mbona kama wewe ni wa upande wetu halafu leo umetugeuka au nakufananisha na sijui nani yule id yake inaanza na g halafu inaishia na s yule mwalimu?Ipake rangi iwe nzuri Masuke
Sio visingizio ni kweli, tulijitahidi na si wote wanaofariki sio kwamba hawakuuguzwa.Mmeshapata kisingizio sasa, hamkumuuguza muwe na majonzi akiwa kishajipumzikia.
R I P Christopher Massawe.
Wachezaji wetu wana huzuni si unajua tuna msiba, jembe letu Christopher Alex ametutoka.
eti jamani, si bora waambulie angalau sare
Mungu ifanye s.u daudi na simba Goriath
Hahahaaa, kabla ya huu msiba walikua na nini?
Ndivyo itakavyokuwa mkuu.