Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Wachezaji wetu wana huzuni si unajua tuna msiba, jembe letu Christopher Alex ametutoka.

Mmeshapata kisingizio sasa, hamkumuuguza muwe na majonzi akiwa kishajipumzikia.
R I P Christopher Massawe.
 
Ipake rangi iwe nzuri Masuke
Hivi ni wewe au nakufananisha mbona kama wewe ni wa upande wetu halafu leo umetugeuka au nakufananisha na sijui nani yule id yake inaanza na g halafu inaishia na s yule mwalimu?
 
Last edited by a moderator:
Mmeshapata kisingizio sasa, hamkumuuguza muwe na majonzi akiwa kishajipumzikia.
R I P Christopher Massawe.
Sio visingizio ni kweli, tulijitahidi na si wote wanaofariki sio kwamba hawakuuguzwa.
 
Hahahaaa, kabla ya huu msiba walikua na nini?

Tulikuwa tunahangaika kuuguza nadhani unajua kazi ya kuuguza ilivyo nzito, lakini hata hivyo tulikuwa tunajitahidi, hukumbuki wiki iliyopita tulishinda mbili bila.
 
Back
Top Bottom