Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Tulikuwa tunahangaika kuuguza nadhani unajua kazi ya kuuguza ilivyo nzito, lakini hata hivyo tulikuwa tunajitahidi, hukumbuki wiki iliyopita tulishinda mbili bila.

Hahahaaa, aisee wewe jamaa kwa sababu ni hatariii
 
eti mkoa uliunganisha nguvu waifunge yanga....
 
Ha ha ha hahahaaaa mikia kama nawaona vile, Pole kaka yangu mpendwa Katavi.
 
Last edited by a moderator:
Mikia msimu ujao wana kazi ya kuwapiga marefa huko ligi daraja ya kwanza na kina friends ranger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…