Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Huoni kama zina mantiki?

Duh!Mnatiki wapi ndio hivyo tu unaokoteza.
Kama ulivyosema kuuguza mmemuuguza wapi kama hiyo mechi mliyotaka kuicheza ili kumchangia hamkuicheza?
 
Wachezaji wawili wa Stand United wamelambwa red card...

Dakika ya 100
 
Ewe ibilisi mwenye sura mbaya unayeishi katikati ya bahari ya Shamu, ibariki simba iendelee kufungwa au kutoa droo mpaka mwisho wa ligi, au endelea kushikiria mkia wake mpaka ashuke daraja

Aamin!
😛😛😛
 
Kiukweli Tanzania hatuna marefa...

Zimeongezwa dakika 7...

Sasa hivi dakika ya 101

Stand United wapo 9 uwanjani
 
FT

Stand United 1-0 Simba

Mpira umemalizika dakika ya 102...Wtf
 
Full Time:

Stand United1 - Simba SC aka Paka 0.

Hongera sana Stand United, mmeutendea vyema uwanja wa home kwenu.
 
Back
Top Bottom