Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Kama matokeo yatabaki hivi Yanga itakuwa inaizidi simba points 11
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh jahazi limezama mazima
duh jahazi limezama mazima
Kama matokeo yatabaki hivi Yanga itakuwa inaizidi simba points 11
Ama kweli mtoto yake Mavi hela zinalala na wakubwa.
Yanga imekata break
Pole sana kwa kipindi hiki kigumu cha sare na vipigo.
Mikia ngojeni niwaambieni nina furaha sana sana, yaani jumapili murua.
Halafu sisi ndio tunaongoza ligi, ha ha ha haaaa.
Ahsante sana Stand, mmewakimbiza watu hapa jukwaani. Ila aibu
hivi mbeya hakuna timu nyingine tuvune tena Point 3
Full Time:
Stand United1 - Simba SC aka Paka 0.
Hongera sana Stand United, mmeutendea vyema uwanja wa home kwenu.
ni kweli mkuu sioni wa kuisimamisha...
ni kweli mkuu sioni wa kuisimamisha...
Hahahaaa. ..bado za mikia pia
Tunawasubiri vibonde wetu wa mtani jembe tuwapige tena 😀
Hahahaaa. ..bado za mikia pia