Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hao ukawa ni vipi lakini??
Mtani, msimu upi kwenu ulikuwa mzuri?hebu nikumbushe mtani. Mi nnachojua nyie kila mwaka mna kauli yenu kuwa mnajenga timu,sasa timu inayojengwa kila mwaka sijui timu gani hiyo.
dawa ya wale jamaa ni kupewa kichapo tu
hongereni.kwa sasa timu yenu ni nzuri kibongo bongoFull Time:
Mbeya City 1 - Yanga SC 3.
Points 6 kwa Yanga.
Bravo Yanga.
I love you Yanga..
Jidanganyeni kuwa mtachukua pointi 3 kutoka kwa vijana wa msimbazi
Hahahaah,,,,,itasaidia??
Walikuwa under 16 sasa ni under 20!!!! Bado wanajenga team
Hongereni stand united na yanga, tutakutana mechi zijazo.