Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Mtani, msimu upi kwenu ulikuwa mzuri?hebu nikumbushe mtani. Mi nnachojua nyie kila mwaka mna kauli yenu kuwa mnajenga timu,sasa timu inayojengwa kila mwaka sijui timu gani hiyo.

Ajabu hii kutoka kwa Simba pekee...
 
Msiwasingizie Ukawa tu, simba kawa paka ha ha ha haaaaaaa.

Poleni Mbeya City msilie ndio mpira. Yanga haikamatikiiiiiiiii...
 
Hongera yanga,
Pole simba.
Hongera stend u,
Pole Mbeya city.
 
Asante sana Yanga kwa Kunipa raha, Ngoja nirudi jukwaa la presha.
 
Back
Top Bottom