Mkuu ukiondoa mabonanza unakumbuka mechi ya mwisho ya kwenye ligi ya voda alifungwa nani?
Mabonanza ambayo yeboyebo fans huzimia wakila kichapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukiondoa mabonanza unakumbuka mechi ya mwisho ya kwenye ligi ya voda alifungwa nani?
Mabonanza ambayo yeboyebo
Teeh!naona unajisema
Ndala lazima akalishwe.. Simba Sc ushindi kama kawa.
Amavubi mwenyewe huyu hapa,inaonyesha leo atalala amebinuka😀
pamoja sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dada bantu lady, YANGA...daima mbele nyuma mwiko...hongera sana timu ya wananchi.much love for uMakoye Matale NGANU Heaven on Earth Pure nomaa nifah youngsharo bujashi25 mkolaj yahoo Zamaulid mito Sodium Mgagaa na Upwa na wengineo wote Yanga Oyeeeeeeee...
Mikia huko jahazi limezama, hakuna wa kuliokoa...
Mechi ya Azam saa ngapi?
Msiba kaka, tuna majonzi ya msiba wa jembe letu. Hongereni sana wanashinyanga.
Kutokana
na kiwango kizuri cha yanga kwa sasa leo ni ushindi tu na kwa ubovu wa simba ni kupigwa tu na stend united
hivi mbeya hakuna timu nyingine tuvune tena Point 3
Mkuu,umetisha kama papa.
Hivi ni wewe au nakufananisha mbona kama wewe ni wa upande wetu halafu leo umetugeuka au nakufananisha na sijui nani yule id yake inaanza na g halafu inaishia na s yule mwalimu?
Tunasawazisha na kupata la ushindi.