Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Attachments

  • 1424621169940.jpg
    1424621169940.jpg
    38.2 KB · Views: 253
Yanga Afrika ina washukuru wana Mbeya wote kwa mchango wao mkubwa, watu walifuata point sita lakini wameongezewa na magoli sita. Ombeni mkikuwa muwe kama Yanga.
Mnakosea mpira wenu mmeuchanganya na siasa itawaghalimu sana.
 
Msiba kaka, tuna majonzi ya msiba wa jembe letu. Hongereni sana wanashinyanga.

Pole sana Mkuu. Simba mmekuwa mkiucheza mpira midomoni na kwenye vidole vyenu juu ya keyboards za simu na computer zenu badala ya uwanjani, jipangeni upya, jahazi limeanza kuzama.
 
Kwa mujibu wa TBC Taifa, mechi ya Azam v Tanzania Prisons itaanza saa mbili usiku huu. Mashabiki wa Mikia hamieni Azam FC kwa muda ili angalau nanyi mtufunge sisi tukiwa TZP.
 
Hivi ni wewe au nakufananisha mbona kama wewe ni wa upande wetu halafu leo umetugeuka au nakufananisha na sijui nani yule id yake inaanza na g halafu inaishia na s yule mwalimu?

Mie yanga.. umenifananisha tu na huyo mwalimu
 
hongereni watani, siye tumeangukia pua lkn hatukati tamaa
 
Back
Top Bottom