Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

msimu huu kwa kweli mgumu sana.

Mtani, msimu upi kwenu ulikuwa mzuri?hebu nikumbushe mtani. Mi nnachojua nyie kila mwaka mna kauli yenu kuwa mnajenga timu,sasa timu inayojengwa kila mwaka sijui timu gani hiyo.
 
Yanga wameniudhi japo nimefurahia ushindi. Nilibet 0 - 3 lakini wao tayari 4. Mkeka umekufa. Kwa simba nilibet wa home ashinde
 
Tuanze kuiombea Simba isishuke daraja. Hata Pan Afrika na Nyota Nyekundu ilikuwa utani utani hivi hivi lakini sasa imebaki historia. Tusiwapoteze wekundu wajameni...

point sana hii, tutakosa watani wa jadi hivyo ligi haitanoga
 
Mtani, msimu upi kwenu ulikuwa mzuri?hebu nikumbushe mtani. Mi nnachojua nyie kila mwaka mna kauli yenu kuwa mnajenga timu,sasa timu inayojengwa kila mwaka sijui timu gani hiyo.

Walikuwa under 16 sasa ni under 20!!!! Bado wanajenga team
 
Mtani, msimu upi kwenu ulikuwa mzuri?hebu nikumbushe mtani. Mi nnachojua nyie kila mwaka mna kauli yenu kuwa mnajenga timu,sasa timu inayojengwa kila mwaka sijui timu gani hiyo.

ni msimu huu tu mkuu mambo ndio yamekuwa mabaya zaidi.
 
Back
Top Bottom