Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaah,,,,,,,mnatoka hapo Sokoine??
Mbeya City tupeni raha Watanzania....
Uwezo wa uwanja mdogo mkuu!!
:A S thumbs_down:Kaka niwewe au? unaniuza kwa huyu mtu, leo amefurahije sasa. Nimemwaga na kummimina mapema sana.
Kaka niwewe au? unaniuza kwa huyu mtu, leo amefurahije sasa. Nimemwaga na kummimina mapema sana.
:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
Kwa nini wanakataliwa kuingia uwanjani?
Kambarage nini kinaendelea??
hahahaah,,,,,sijakuuza dada, nilitaka kumsikia mbwembwe zake.
Hawa TBC Taifa wanahama hama, sahivi wako Sokoine, ngoja tuwasubiri wakirudi Kambarage watatujulisha.