Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya wewe.
Huu ni wakati wenu chekeni tu na sisi tutapata tu nafasi ya kuwazodoa.adui muombee njaa...nyie mnashuka sisi tuna panda...
Mimi niko imara na hapa tupo hadi mwisho hata kama mpira uchezwe dakika 180. Huyu golikipa wa stand united kwa leo ndo kikwazo.
Kwa mwendo huu wa watani zetu mikia jukwaa litakosa msisimko kabisa.
hakimbii mtu hapa na jukwaa msisimko utakuwepo kama kawaida
natamani game la shinyanga liishe sasa hivi...
Mh Mbowe na Mh Sugu ndani ya Sokoine.
Pole sana hao ndio Stand, watoto wa Shy town.
Ndiyo raha ya kuwa Yanga full furaha, chezeya Msuva nyie
Haliishi hadi tupate ushindi
Wachezaji wetu wana huzuni si unajua tuna msiba, jembe letu Christopher Alex ametutoka.
Kwa mwendo huu wa watani zetu mikia jukwaa litakosa msisimko kabisa.