Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa, itabidi mwisho wa ligi wapewe zawadi ya club iliyopata sare nyingi zaidi.
Hahahaaa, kabla ya huu msiba walikua na nini?
Usitake kuwafariji mikia
Mikia huko jahazi limezama, hakuna wa kuliokoa...
Gooooooooooaal
Ngasaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Stand 1 Simba 0, bado dakika 7 mpira kuisha
Hayo ndio malipo ya kumfitini Wambura, malipo hapa hapa duniani.Stand 1 Simba 0, bado dakika 7 mpira kuisha