Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #21
Mkuu tutake radhiWamatopeni bado tu hamjafunga?
Mpira unakwama kwenye matope. Wanaongoza kwa offside.Wamatopeni bado tu hamjafunga?
Hahahaha!, kweli mkuu. Nipo Yanga mpaka kufa, lakini Arsenal nimeacha kujipa pressure mpaka Wenger ataporudi kwao.Ukishabikia Arsenal na Simba unaweza kufa ukiwa unatembea!
Tunaongoza 1Mkuu ifungeni kwanza mbeya city ndo niwatake radhi
Nani kakuambia??Ukishabikia Arsenal na Simba unaweza kufa ukiwa unatembea!
washaelekea kiblaMbeya city wanapigwa nyingi Leo wamepoteza uelekeo.