Ligi Kuu Vodacom: Simba Vs Mbeya City

Super Sunday gani,Mbeya city wachovu,subirini azam
 
Hii ndoo tusipochukua nahamia Yanga kwa wiki moja.
Ni tusi kubwa sana kwangu kuisapoti yanga, haya ndo maumivu nimejichagulia.
 
Simba imefanya kweli baada ya matusi mengi kutoka ndimi chafu za kijani.
 
hamis kiiza kafunga goli LA pili ni mbili bila dk ya 61.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…