Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
- Thread starter
- #21
Mna utoto mwingi sana ....Star tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna utoto mwingi sana ....Star tv
Ligi imeanza kuonyeshwa kabla ya Euro 1996 fainali Cheksolovakia na ujerumani .... Hii yako ni chai ...kiupande wangu ilikuwa pia week end.
man utd 6 arsenal 2.
mwaka 2001
safari yangu ya kuipenda manchester united ilianzia hapo.
pengine ile mechi mshindi angelikuwa ni arsenal leo hii ningelikuwa mshabiki wa arsenal.
baadae ilitokezea jamaa fulani alikuwa na dishi nyumbani kwake, nyumba nyingi za jirani zikawa zinapata channel za soka.
mtaa nauhifadhi niliokuwa naishi
Kimsingi hata mimi nilianza kuangalia 1996 DTV ila ilinipotea nikaichanganya na channel 10.Umepata jibu gani mpaka sasa
TV mmeanza kuangalia juzi tu..toka kitambo Zenji walikuwa wanaonyesha..mchonga alitunyosha sana
Dtv mi nilianza kuona mwaka 1998Dtv ilkuwa mwaka 96 hivi..