Ligi kuu ya England ilianza kuonyeshwa lini Tanzania na ilionyeshwa na Channel gani

Ligi imeanza kuonyeshwa kabla ya Euro 1996 fainali Cheksolovakia na ujerumani .... Hii yako ni chai ...
 
Dk leakey DSTV na jamaa mmoja hivi nimemsahau jina, anaongea sana kuhusu soka.
 
TV mmeanza kuangalia juzi tu..toka kitambo Zenji walikuwa wanaonyesha..mchonga alitunyosha sana

Huyo mzee alikuwa pragmatic. TvZ ilipoanzishwa technology yake ilikuwa aghali mno na walichokuwa wanafanya ni kutangaza program za nje. Taarifa ya habari ilikuwa inaonyesha matukio ya wiki ya nyuma na live coverage ilikuwa limited.

Mnaomlaumu Nyerere kwa kutoruhusu TV nchini mnasahau ukweli huo pamoja na fact kuwa hakukuwa na umeme wa uhakika (ndio maana alikazania kuenezwa kwa matangazo ya radio kwanza). Afrika Kusini na utajiri wao wote television yao ya taifa ilianzishwa 1976, unadhani ni kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…