Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Nungu nungu πππ€£Bushoke na kale kamnyama kenye miiba.
Kule unyamani:
Kotei injury ya goti
Fraga goti
Lwanga goti
Hakika Ni shida!
PatheticGENTAMYCINE nilipoonya hapa kuwa Viongozi wa hivi Vilabu Viwili Vikubwa wawaambie Wachezaji Wazawa waache Kuwaroga ( Kuwapiga Pini ) Wenzao wa Kigeni kwani Wanavigharimu hivyo Vilabu sikueleweka na Wengine mkanipuuza na Kunibeza.
Sasa Ligi Kuu ya NBC ikirejea tarehe za 20 Mwezi huu September, 2023 tegemeeni Mchezaji Mmoja wa Kigeni ( kutoka Klabu Moja Kubwa ) kushuka Kiwango ghafla na Waliokuwa wakimpamba hawatoamini na wataanza Kumkataa / Kumchukia.
Mkiambiwa Ficheni Jezi zenu, Viatu na Soksi zenu halafu msipende sana Kukaribisha Wachezaji Wazawa Vyumbani mwenu kwani Wengi wao hubeba Silaha Nyeusi ( Ulozi ) wa Kuwamalizeni hamsikii.
Mnadhani Mchezaji wa Kiungo Khalid Aucho alivyokataa Kukaa katika Nyumba ya Wachezaji wengi na kuamua Kukaa Mwenyewe katika Appartments za pale Baraka Plaza Mikocheni kwa Warioba alikuwa Bwege? Mnaona Anarogeka hovyo na Wazawa Wanne ( ambao wanasifika kwa Kupiga Pini ) anaogombania nao hiyo namba?
Mna hamu Kweli nimtaje huyo Mchezaji ila kwakuwa wenye Blogs na Watangazi na Wachambuzi wa Michezo huwa mnapenda kuchukua Contents zangu hapa na Kujifanya ni zenu na kujipatia Umaarufu na hamsemi Ukweli kuwa mmeitoa JamiiForums na Kwangu Mimi Mfalme ( King ) wa Taarifa Ngumu na za Ndani GENTAMYCINE wala siwatajii na hakuna Mtu anayemjua zaidi yangu na bahati nzuri huyo Mchezaji Mzawa aliyempiga hiyo Pini Mwenzake Mgeni ni Rafiki yangu na hadi Mkoa aliyoenda naujua.
Kudadadeki......!!
Atakuporomeshea matusi kweli kweli muda si mrefu.Pathetic
Apostle nini kimetokea π au wamsemea maxmpia au ni sombasomba onanaπππGENTAMYCINE nilipoonya hapa kuwa Viongozi wa hivi Vilabu Viwili Vikubwa wawaambie Wachezaji Wazawa waache Kuwaroga ( Kuwapiga Pini ) Wenzao wa Kigeni kwani Wanavigharimu hivyo Vilabu sikueleweka na Wengine mkanipuuza na Kunibeza.
Sasa Ligi Kuu ya NBC ikirejea tarehe za 20 Mwezi huu September, 2023 tegemeeni Mchezaji Mmoja wa Kigeni ( kutoka Klabu Moja Kubwa ) kushuka Kiwango ghafla na Waliokuwa wakimpamba hawatoamini na wataanza Kumkataa / Kumchukia.
Mkiambiwa Ficheni Jezi zenu, Viatu na Soksi zenu halafu msipende sana Kukaribisha Wachezaji Wazawa Vyumbani mwenu kwani Wengi wao hubeba Silaha Nyeusi ( Ulozi ) wa Kuwamalizeni hamsikii.
Mnadhani Mchezaji wa Kiungo Khalid Aucho alivyokataa Kukaa katika Nyumba ya Wachezaji wengi na kuamua Kukaa Mwenyewe katika Appartments za pale Baraka Plaza Mikocheni kwa Warioba alikuwa Bwege? Mnaona Anarogeka hovyo na Wazawa Wanne ( ambao wanasifika kwa Kupiga Pini ) anaogombania nao hiyo namba?
Mna hamu Kweli nimtaje huyo Mchezaji ila kwakuwa wenye Blogs na Watangazi na Wachambuzi wa Michezo huwa mnapenda kuchukua Contents zangu hapa na Kujifanya ni zenu na kujipatia Umaarufu na hamsemi Ukweli kuwa mmeitoa JamiiForums na Kwangu Mimi Mfalme ( King ) wa Taarifa Ngumu na za Ndani GENTAMYCINE wala siwatajii na hakuna Mtu anayemjua zaidi yangu na bahati nzuri huyo Mchezaji Mzawa aliyempiga hiyo Pini Mwenzake Mgeni ni Rafiki yangu na hadi Mkoa aliyoenda naujua.
Kudadadeki......!!
Unaogopa matusi?Atakuporomeshea matusi kweli kweli muda si mrefu.
We huogopi?Unaogopa matusi?
Bila matusi nisingezaliwa....We huogopi?
Jogoo Hana mshengaMjumbe hauwawi.
Haya hongera mtoto uliezaliwa kwa matusi na ndio maana akili yako ipo kimatusimatusi tu.Bila matusi nisingezaliwa....
Basi sawa wewe uliyezaliwa bila matusi. Najua unaona aibu kumwita mzazi wako wa Kiume "BABA"Haya hongera mtoto uliezaliwa kwa matusi na ndio maana akili yako ipo kimatusimatusi tu.
Nashukuru kwa Kulijua hili. Ubarikiwe.Genta ni nyoka mweusi HUWA anagonga hadi vyombo gizani!!
Wahusika watanyie kazi!!
Aliyekuambia hivyo amekudanganya. Bado upo Tigo na Yule Dada yako wa IPP Media hajambo? Na Yule Mwingine wa Avocado Kawe mwenye Hospitali yake Ndogo inayoanzia na Herufi R nae hajambo?Genta ana Masters ya SAUT hapo Msimbazi Centre
Siku atakayoacha kuwa Bingwa / Mshindi wa hilo Shindano ni pale tu akiwa Amekufa / Amefariki ila akiwa Hai kama hivi hata ashindanishwe na Wewe damn Fool na wale Fools Wenzako unaowaamini na kuwakubali hapa JamiiForums bado atashinda / nitashinda tu.Mliompigia kura huyu popoma mlijidhalilisha sana
Kwani Tulipomaliza SAUT si ulikuwa hapo Msimbazi Center kuendelea na Masters yako ya Communication?Aliyekuambia hivyo amekudanganya. Bado upo Tigo na Yule Dada yako wa IPP Media hajambo? Na Yule Mwingine wa Avocado Kawe mwenye Hospitali yake Ndogo inayoanzia na Herufi R nae hajambo?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Nina Hadhi ya Kusoma Masters SAUT Msimbazi Center wakati hata Darasa la Saba tu sikumaliza? Acha Kuota, Kukariri na Kubahatisha Mkuu sawa?Kwani Tulipomaliza SAUT si ulikuwa hapo Msimbazi Center kuendelea na Masters yako ya Communication?
LY...πππNina Hadhi ya Kusoma Masters SAUT Msimbazi Center wakati hata Darasa la Saba tu sikumaliza? Acha Kuota, Kukariri na Kubahatisha Mkuu sawa?