Ligi Kuu ya NBC ikirejea tegemeeni Mchezaji Mgeni 'aliyeng'ara' Kushuka Kiwango kutokana na Kupigwa 'Pini' ya maana na Mchezaji Mzawa

GENTAMYCINE nilipoonya hapa kuwa Viongozi wa hivi Vilabu Viwili Vikubwa wawaambie Wachezaji Wazawa waache Kuwaroga ( Kuwapiga Pini ) Wenzao wa Kigeni kwani Wanavigharimu hivyo Vilabu sikueleweka na Wengine mkanipuuza na Kunibeza.

Sasa Ligi Kuu ya NBC ikirejea tarehe za 20 Mwezi huu September, 2023 tegemeeni Mchezaji Mmoja wa Kigeni ( kutoka Klabu Moja Kubwa ) kushuka Kiwango ghafla na Waliokuwa wakimpamba hawatoamini na wataanza Kumkataa / Kumchukia.

Mkiambiwa Ficheni Jezi zenu, Viatu na Soksi zenu halafu msipende sana Kukaribisha Wachezaji Wazawa Vyumbani mwenu kwani Wengi wao hubeba Silaha Nyeusi ( Ulozi ) wa Kuwamalizeni hamsikii.

Mnadhani Mchezaji wa Kiungo Khalid Aucho alivyokataa Kukaa katika Nyumba ya Wachezaji wengi na kuamua Kukaa Mwenyewe katika Appartments za pale Baraka Plaza Mikocheni kwa Warioba alikuwa Bwege? Mnaona Anarogeka hovyo na Wazawa Wanne ( ambao wanasifika kwa Kupiga Pini ) anaogombania nao hiyo namba?

Mna hamu Kweli nimtaje huyo Mchezaji ila kwakuwa wenye Blogs na Watangazi na Wachambuzi wa Michezo huwa mnapenda kuchukua Contents zangu hapa na Kujifanya ni zenu na kujipatia Umaarufu na hamsemi Ukweli kuwa mmeitoa JamiiForums na Kwangu Mimi Mfalme ( King ) wa Taarifa Ngumu na za Ndani GENTAMYCINE wala siwatajii na hakuna Mtu anayemjua zaidi yangu na bahati nzuri huyo Mchezaji Mzawa aliyempiga hiyo Pini Mwenzake Mgeni ni Rafiki yangu na hadi Mkoa aliyoenda naujua.

Kudadadeki......!!
Pathetic
 
Apostle nini kimetokea 😁 au wamsemea maxmpia au ni sombasomba onana😁😁😁
 
Mliompigia kura huyu popoma mlijidhalilisha sana
 
Genta ana Masters ya SAUT hapo Msimbazi Centre
Aliyekuambia hivyo amekudanganya. Bado upo Tigo na Yule Dada yako wa IPP Media hajambo? Na Yule Mwingine wa Avocado Kawe mwenye Hospitali yake Ndogo inayoanzia na Herufi R nae hajambo?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Mliompigia kura huyu popoma mlijidhalilisha sana
Siku atakayoacha kuwa Bingwa / Mshindi wa hilo Shindano ni pale tu akiwa Amekufa / Amefariki ila akiwa Hai kama hivi hata ashindanishwe na Wewe damn Fool na wale Fools Wenzako unaowaamini na kuwakubali hapa JamiiForums bado atashinda / nitashinda tu.

Huwezi kuwa na Utajiri wa Followers 163+ Great Thinkers hapa JamiiForums nilionao GENTAMYCINE halafu nisiwe Mshindi wa Shindano lolote lile la Majukwaa ( Forums ) hapa Jamvini.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Aliyekuambia hivyo amekudanganya. Bado upo Tigo na Yule Dada yako wa IPP Media hajambo? Na Yule Mwingine wa Avocado Kawe mwenye Hospitali yake Ndogo inayoanzia na Herufi R nae hajambo?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Kwani Tulipomaliza SAUT si ulikuwa hapo Msimbazi Center kuendelea na Masters yako ya Communication?
 
Nina Hadhi ya Kusoma Masters SAUT Msimbazi Center wakati hata Darasa la Saba tu sikumaliza? Acha Kuota, Kukariri na Kubahatisha Mkuu sawa?
 
Back
Top Bottom