Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Hahahaaa Yanga si ndo zenu hizo maana mlivoshangilia siku zile kama magoli kafunga Tshishimbi vileπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yaaaani acha tu Sesten.

Acha kabisa yaani achaaa unajua achaaa, yaani acha tu sauti ya Hajar ilikauka. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lol.
 
Hahahaaa. Ndio kilichobakia Sesten.

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
Wee furahia tu Hajar ngoja mambo yakianza kuwageukia ndio utajua kua kachumbari si mboga inasaidia tu

Ushasahau mlivoumaliza msimu uliopita. Mlikuaga wapoleeeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaaaani acha tu Sesten.

Acha kabisa yaani achaaa unajua achaaa, yaani acha tu sauti ya Hajar ilikauka. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lol.
Kuteleza sio kuanguka ujue

Leo kwetu kesho kwenu

Mwenzio akinyolewa nawe kichwa chako tia maji

Usitukane mamba kabda hujavuka mto

Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

Nimejaribu kutoa misemo ya wahenga ukae nayo kwa matumizi ya baadae Hajar
 
Hahahaaaa. Hizi lawama wapeni Mbao na nyie Simba wenyewe Sesten.

Kwa kipi alichonacho Yanga mpaka atie mkono pale jamaani.

Tafuteni mchawi wenu sie yetu macho na masikio tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila hako kanafasi mliko kakali sio kakwenu mjue

Kwa hiyo msikazowee saana na pia mjiandae kisaikolojia maana siku ya kuja kuondolewa hapo msije kulia na mtu
 
Wee furahia tu Hajar ngoja mambo yakianza kuwageukia ndio utajua kua kachumbari si mboga inasaidia tu

Ushasahau mlivoumaliza msimu uliopita. Mlikuaga wapoleeeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahaaa. Unadhani nina shaka nalo hilo basi Sesten.

Nashangaa tu nyie mliojigamba mna kikosi kipana iweje mkumbane na hizi mambo ambazo kikawaida ziko Yanga tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila hako kanafasi mliko kakali sio kakwenu mjue

Kwa hiyo msikazowee saana na pia mjiandae kisaikolojia maana siku ya kuja kuondolewa hapo msije kulia na mtu
Hahahaaaa. Si ka kwetu kiaje sasa Sesten.

Njooni basi mkae nyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila Sesten wanchekesha leo jamaani.
 
Hahahaaaaaa. Sasa mbona asilima kubwa ya mashabiki hawaamini mlichokipata au wao hawajui kama bado kuna mechi thelathini na kitu?
Yanga ndio mmefurahia sana sisi kupoteza mechi ili mkalie kiti cha uongozi wa ligi japo kwa siku chache maana marathon ikikolea mtakua mnakisikia kwenye kipindi cha michezo cha Clous au EfM

Simba imetuuma kupoteza mechi na Mbao maana tushazoea ushindi siye, kwahiyo tukipoteza mechi inakua maajabu ya dunia Hajar
 
Tena chaka kweli wajua chaka tena lile lililojaa miba yaani ukikukosa wa mgongoni basi umekupata wa mguuni. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya bana nyie ongeeni tu kwasasa ila msimu wa Ligi utakapokua unaelekea ukingoni utakua mpoole sana maana mtakua mshaachiwa vumbi la kimbunga mnatafutana wenyewe huko nyuma kwenye nafasi sijui ya nne au ya tano
 
Yanga ndio mmefurahia sana sisi kupoteza mechi ili mkalie kiti cha uongozi wa ligi japo kwa siku chache maana marathon ikikolea mtakua mnakisikia kwenye kipindi cha michezo cha Clous au EfM

Simba imetuuma kupoteza mechi na Mbao maana tushazoea ushindi siye, kwahiyo tukipoteza mechi inakua maajabu ya dunia Hajar
Hahahaaaa. Eti maajabu ya dunia. Sitaki mieeee.
 
Back
Top Bottom