Yaaaani acha tu Sesten.Hahahaaa Yanga si ndo zenu hizo maana mlivoshangilia siku zile kama magoli kafunga Tshishimbi vileπππ
Wee furahia tu Hajar ngoja mambo yakianza kuwageukia ndio utajua kua kachumbari si mboga inasaidia tuHahahaaa. Ndio kilichobakia Sesten.
πππππππππ
Kuteleza sio kuanguka ujueYaaaani acha tu Sesten.
Acha kabisa yaani achaaa unajua achaaa, yaani acha tu sauti ya Hajar ilikauka. πππππππππ lol.
Ila hako kanafasi mliko kakali sio kakwenu mjueHahahaaaa. Hizi lawama wapeni Mbao na nyie Simba wenyewe Sesten.
Kwa kipi alichonacho Yanga mpaka atie mkono pale jamaani.
Tafuteni mchawi wenu sie yetu macho na masikio tu. πππ
Hahahaa kwa hiyo kua Simba tumeingia chaka siyo? Yanga mnapeeenda kujipa moyo sanaOooh. Hapo sawa yaani hujapotea njia kabisaaa.
Hahahaaa. Unadhani nina shaka nalo hilo basi Sesten.Wee furahia tu Hajar ngoja mambo yakianza kuwageukia ndio utajua kua kachumbari si mboga inasaidia tu
Ushasahau mlivoumaliza msimu uliopita. Mlikuaga wapoleeeπππ
Hahahaaa. Nimecheka kwa sauti lol.Kuteleza sio kuanguka ujue
Leo kwetu kesho kwenu
Mwenzio akinyolewa nawe kichwa chako tia maji
Usitukane mamba kabda hujavuka mto
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Nimejaribu kutoa misemo ya wahenga ukae nayo kwa matumizi ya baadae Hajar
Hahahaaaa. Si ka kwetu kiaje sasa Sesten.Ila hako kanafasi mliko kakali sio kakwenu mjue
Kwa hiyo msikazowee saana na pia mjiandae kisaikolojia maana siku ya kuja kuondolewa hapo msije kulia na mtu
Tena chaka kweli wajua chaka tena lile lililojaa miba yaani ukikukosa wa mgongoni basi umekupata wa mguuni. πππππππHahahaa kwa hiyo kua Simba tumeingia chaka siyo? Yanga mnapeeenda kujipa moyo sana
Yanga ndio mmefurahia sana sisi kupoteza mechi ili mkalie kiti cha uongozi wa ligi japo kwa siku chache maana marathon ikikolea mtakua mnakisikia kwenye kipindi cha michezo cha Clous au EfMHahahaaaaaa. Sasa mbona asilima kubwa ya mashabiki hawaamini mlichokipata au wao hawajui kama bado kuna mechi thelathini na kitu?
Haya bana nyie ongeeni tu kwasasa ila msimu wa Ligi utakapokua unaelekea ukingoni utakua mpoole sana maana mtakua mshaachiwa vumbi la kimbunga mnatafutana wenyewe huko nyuma kwenye nafasi sijui ya nne au ya tanoTena chaka kweli wajua chaka tena lile lililojaa miba yaani ukikukosa wa mgongoni basi umekupata wa mguuni. πππππππ
Hahahaaaa. Eti maajabu ya dunia. Sitaki mieeee.Yanga ndio mmefurahia sana sisi kupoteza mechi ili mkalie kiti cha uongozi wa ligi japo kwa siku chache maana marathon ikikolea mtakua mnakisikia kwenye kipindi cha michezo cha Clous au EfM
Simba imetuuma kupoteza mechi na Mbao maana tushazoea ushindi siye, kwahiyo tukipoteza mechi inakua maajabu ya dunia Hajar
Usifanye mchezo na usajili makini wenye thamani ya karibia 1.3bilion. Kwa viwango vya kibongobongo hakuna anayetia mguu hapoHahahaaaa. Si ka kwetu kiaje sasa Sesten.
Njooni basi mkae nyie ππππ Ila Sesten wanchekesha leo jamaani.
Wee meza ushushie na maji tu Hajar hata kama ni dawa chungu maana ukweli ndio huo mamiiHahahaaaa. Eti maajabu ya dunia. Sitaki mieeee.
Hahaaaa. Kwa mwendo huu mlio nao eeee?Haya bana nyie ongeeni tu kwasasa ila msimu wa Ligi utakapokua unaelekea ukingoni utakua mpoole sana maana mtakua mshaachiwa vumbi la kimbunga mnatafutana wenyewe huko nyuma kwenye nafasi sijui ya nne au ya tano
Tusiandikie mate ilhali wino upo teeleeHahaaaa. Haya bana ila muda utazungumza.
Bingwa hanaga makeke, huanza mdogomdogo, wale nguvu ya soda kama jirani zetu wa Jangwani pale tutawapita huko mbele ya safari kama wamesimama vileHahaaaa. Kwa mwendo huu mlio nao eeee?
Na kweli Sesten.