Kulikuwa na tatizo la TiGo pesa kabla ya mechi kuanza......[emoji2][emoji23][emoji16]Labda muwape hela na leo kama ambavyo huwa mnawapa
Shusha boxer sindano ikuingie wewe!!![emoji23]Mkuu idadi ya matunguli, inazidi idadi ya mashabiki wa Mbao.
mamaye zao wameisha toka, hili game tayari limeisha uzwa, sijui ma-takukuru yanakuwaga wapi?mudaa wa half time viongozi wa mikia wameingia kwenye vyumba vya mbao fc, jamani mwenye namba za takukuru mwanza naomba anitumie inbox fasta tukawanase, ndani ya dakika 5 watakuwa wamemaliza 'biashara'
Mkuu, acha wapigwe kimoja cha nguruweHauishi huu mpaka MIKIA wapigwe la pili...[emoji23][emoji23]
Kama miamala ya MPESA ikishindikana .....Mbao FC anaweza..BISHA?Sio kumuachia ni kwamba mbao hana uwezo wa kuondoka na Point 3 mbele ya simbaaaaaaaaaa
Kuna Timu Wachawi kuliko nyinyi Mikia?Nimeamini kuna uchawi kwenye mpira,Mbao wameweka majini golini
Anaona Barthez....mwenye mkono mmoja ila miguu ina toka jasho la usoni..[emoji16][emoji16]Kwani okwi anaona nini golini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona mnatafuta sababuMkuu idadi ya matunguli, inazidi idadi ya mashabiki wa Mbao.
Zakaria Hans Pope akifanya yake kwenye goli la mpinzani mechi ya Simba Sc vs Yanga Sc.Nimeamini kuna uchawi kwenye mpira,Mbao wameweka majini golini
Duuuuh, Tafuta sababu nyingineHapa uchawi ndo unacheza
Na bahati mbaya uchawi wenyewe mlio uweka hauwasaidii.....[emoji23][emoji23]Hapa uchawi ndo unacheza
Na haya hapa chini ni maneno yako Mtani.Nipo.. Mpira Dk. 90.. Kwani mara ya mwisho tulivyokuja hapa ililuaje? Walianza kutufunga 2 kipindi cha 2 zikarudi zote. Hawa wetu leo.
Leo mikia wameamua kutumia uchawi badala ya miamalaHapa uchawi ndo unacheza
Hahahaaa. Nafurahi kujua Mtani una kumbukumbu maana mlitupa tumbo joto.Tulikuwa tukiwapa wakati mgumu kwenye mechi yenu. Naona leo zamu yenu, lakini mpira mpaka uishe ndo tuona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mudaa wa half time viongozi wa mikia wameingia kwenye vyumba vya mbao fc, jamani mwenye namba za takukuru mwanza naomba anitumie inbox fasta tukawanase, ndani ya dakika 5 watakuwa wamemaliza 'biashara'