Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Wapigwe tu jamaani narudia wapigweeeeee. πππππππPiga Mkia hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Wapigwe tu jamaani narudia wapigweeeeee. πππππππPiga Mkia hao
usiseme hivyo. Mbao FC ni mafala, wanaweza kumuachia SimbaSimba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Na hilo ndilo wanalolijua hao Mbao FC. Mliopo uwanjani mtakuwa mnashuhudia mashabiki wamebeba matunguliNimeamini kuna uchawi kwenye mpira,Mbao wameweka majini golini
Kwani okwi anaona nini golini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeamini kuna uchawi kwenye mpira,Mbao wameweka majini golini
Nipo.. Mpira Dk. 90.. Kwani mara ya mwisho tulivyokuja hapa ililuaje? Walianza kutufunga 2 kipindi cha 2 zikarudi zote. Hawa wetu leo.sembo uko wapi lakini yaani Mtani wako napaliwa hapa hata maji huleti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Seeemboooo. Kama nakuona vile. Teh teh.
Njoo ujitutumue Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kumuachia ni kwamba mbao hana uwezo wa kuondoka na Point 3 mbele ya simbaaaaaaaaaausiseme hivyo. Mbao FC ni mafala, wanaweza kumuachia Simba