Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

86DB6907-5EB0-473B-B2F7-640A4C0BFCBB.png
86DB6907-5EB0-473B-B2F7-640A4C0BFCBB.png
 
sembo uko wapi lakini yaani Mtani wako napaliwa hapa hata maji huleti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Seeemboooo. Kama nakuona vile. Teh teh.

Njoo ujitutumue Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo.. Mpira Dk. 90.. Kwani mara ya mwisho tulivyokuja hapa ililuaje? Walianza kutufunga 2 kipindi cha 2 zikarudi zote. Hawa wetu leo.
 
Back
Top Bottom