mbao nuksiYaani Simba wanajua kutukera jamani, tufungwe na mbao?
simba wa zoo,hivi ulaya kuna pori kama la SerengetiLeo Simba ushindi
mbao haongezi tu..au wamepokea miamala..mwishooni waachie mbili fastaHahahaaaa. sembo nisaidie kujibu Mtani. 😜😜😜
Wanakera mnoo team imefanya naandalizi ya kutosha sijui tatizo lipo wapimbao nuksi
.pigweni mikia
Ushindi wa Karata au wa nini?Leo Simba ushindi
Mbao fc 1 - O MIKIA FC...Dk 81.Matokeo yakoje wakuu.
Mimi misimu mitatu ya nyuma kidogo nipate presha mpaka nikaacha kwenda uwanjani , nimerudisha moyo wote naona soon itanicost tena.Hahaha Simba bana, juzi drop, leo kipigo.
Sema tu haiwezekani kuhama, ngoja nipunguze mapenzi na mnyama.
atarudisha tuHahaha Simba bana, juzi drop, leo kipigo.
Sema tu haiwezekani kuhama, ngoja nipunguze mapenzi na mnyama.
Mimi misimu mitatu ya nyuma kidogo nipate presha mpaka nikaacha kwenda uwanjani , nimerudisha moyo wote naona soon itanicost tena.
Ngoja nijitahidi kuipotezea tena.
Yes tuna kikosi kizuri.Ndo timu zetu hizi, mimi sasa hivi nguvu zangu nimezielekeza Liverpool.
Huku napumzika, ila ligi bado, mechi 38 ni nyingi, tutachukua ubingwa, tuna kikosi kikubwa.