Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha msemaji wa timu amekupa simu yakeWakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.
Ahsanteni.
Nasikitika kusema kwamba Leo matokeo ni Mbao fc 2 - 1 Simba...
Na mkijitahidi sanaaaaa basis ni
Mbao fc 2 - Simba 2
Naihifadhi hii kauli yako
TooobaaaaaaaaaaaaaaaaSimba ya Uturuuuuuuuuuuuuq chaliiiiiiiiiiuuuu
Bao moja chaliiiiiiTooobaaaaaaaaaaaaaaaa
Jana nilikwambia kuanzia leo lazima ukae eneo korofi. Pole sana Mtani sababu naona Bundi anahamia Msimbazi.Wakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.
Ahsanteni.
Hahahaaaa. Kuna mmoja alifanya mistake pale sijui kama hakupokea kitu maana anamrudishia kipa wakati kuna kagere.mbao haongezi tu..au wamepokea miamala..mwishooni waachie mbili fasta