Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

5E5E1C21-B3A3-4C61-B214-2E090E08BEE6.jpeg

CC: sembo na Bi Hindu wote
 
Wakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.

Ahsanteni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.

Ahsanteni.
Wewe tunakufahamu na mbwembwe zako tumezizoea
Inabidi TFF watukabidhi kombe letu mapema sana msimu huu
 
Nilisema humu ndani kitendo cha viongozi wa simba kuingiza siasa na kuinajisi timu kupitia Makonda kitatugharimu mbeleni..leo imedhihirika.. Manara tunaanza upyaaaa
Pumba kabisa, ulitaka afungwe nani ili wewe ufurahi?
 
Hahahaaa. Alijifariji sana yaani toka jana.

Pole kwao sijui safari hii watasema nini. Maana msimu uliopita ndio zilikuwa bwabwaja za Manara kwamba hawajawahi kufungwa. KIKO WAPI MSIMU HUUU.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safari hii labda wapate kikombe cha kunywea uji...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom