nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
TeheteheteheteheNipo nipo. Leo ndio ule muda wa kulipa kisasi kwa Polisi Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TeheteheteheteheNipo nipo. Leo ndio ule muda wa kulipa kisasi kwa Polisi Tanzania.
Dah kiukweli dada nimekumiss ni nini hivi jamaniKila la kheri timu ya wananchi.
"Daima mbele nyuma mwiko"
Nipo Dada ake. Wewe ndio umeadimika Dada sijakuona muda sana hadi nimekumiss.Dah kiukweli dada nimekumiss ni nini hivi jamani
Niko mzima dada jamani yaani leo nimesema mpaka nikupate nilivyokumiss niko mzima mimi jamani sijui weweNipo Dada ake. Wewe ndio umeadimika Dada sijakuona muda sana hadi nimekumiss.
Vp lakini Uko mzima?
Mie pia niko salama Dada. Karibu Taifa leo tunacheza na timu ya Kwetu Dada. 😜Niko mzima dada jamani yaani leo nimesema mpaka nikupate nilivyokumiss niko mzima mimi jamani sijui wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo nipo. Leo ndio ule muda wa kulipa kisasi kwa Polisi Tanzania.
Yaani mdogo wangu kwa ulichoandika nimebaki nacheka tu. 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada yangu bana, Mungu akujalie uipende sana Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mdogo wangu kwa ulichoandika nimebaki nacheka tu. [emoji3][emoji3][emoji3]
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Yaani acha tu mdogo wangu. Kwa timu ya Wananchi huwa sitetereki nipogo nayo tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzalendo wako ni wa kuigwa kabisa.
😂😂😂😂 unajua nini mdogo wangu saa nyingine wachezaji ndio wanatuangusha.Nimecheka sana ulivyojitapa mwanzoni ila ukaishia kuambulia sare, tena kwa kuwatupia lawama baadhi ya wachezaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nini mdogo wangu saa nyingine wachezaji ndio wanatuangusha.
Eti eeee. 🤔🤔🤔🤔Wachezaji hawawezi kuwaangusha hivihivi, kuna tatizo linalowaangusha. Mkilibaini na kulitatua hamtaangushana tena.
Mimi hata sijui maana kwenye wananchi wenye timu, mimi sipo[emoji23][emoji23][emoji23]Eti eeee. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Haya mdogo wangu karibu kesho tuishangilie kwa mara nyingine timu ya Wananchi. 😎😎😎Mimi hata sijui maana kwenye wananchi wenye timu, mimi sipo[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali kabisa Dada yangu namuombea Makame achomoe betri taratibu ili tusilipukiwe mafuta[emoji23][emoji23][emoji23]Haya mdogo wangu karibu kesho tuishangilie kwa mara nyingine timu ya Wananchi. [emoji41][emoji41][emoji41]