Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Niko mzima dada jamani yaani leo nimesema mpaka nikupate nilivyokumiss niko mzima mimi jamani sijui wewe
Mie pia niko salama Dada. Karibu Taifa leo tunacheza na timu ya Kwetu Dada. 😜
 
Nipo nipo. Leo ndio ule muda wa kulipa kisasi kwa Polisi Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada yangu bana, Mungu akujalie uipende sana Yanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada yangu bana, Mungu akujalie uipende sana Yanga
Yaani mdogo wangu kwa ulichoandika nimebaki nacheka tu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
 
Yaani mdogo wangu kwa ulichoandika nimebaki nacheka tu. [emoji3][emoji3][emoji3]

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzalendo wako ni wa kuigwa kabisa.

Nimecheka sana ulivyojitapa mwanzoni ila ukaishia kuambulia sare, tena kwa kuwatupia lawama baadhi ya wachezaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzalendo wako ni wa kuigwa kabisa.
Yaani acha tu mdogo wangu. Kwa timu ya Wananchi huwa sitetereki nipogo nayo tu.
Nimecheka sana ulivyojitapa mwanzoni ila ukaishia kuambulia sare, tena kwa kuwatupia lawama baadhi ya wachezaji
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajua nini mdogo wangu saa nyingine wachezaji ndio wanatuangusha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nini mdogo wangu saa nyingine wachezaji ndio wanatuangusha.

Wachezaji hawawezi kuwaangusha hivihivi, kuna tatizo linalowaangusha. Mkilibaini na kulitatua hamtaangushana tena.
 
Mimi hata sijui maana kwenye wananchi wenye timu, mimi sipo[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mdogo wangu karibu kesho tuishangilie kwa mara nyingine timu ya Wananchi. 😎😎😎
 
Haya mdogo wangu karibu kesho tuishangilie kwa mara nyingine timu ya Wananchi. [emoji41][emoji41][emoji41]
Usijali kabisa Dada yangu namuombea Makame achomoe betri taratibu ili tusilipukiwe mafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…