Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Ha ha hahaaaaa Zamaulid upo wewe, siye tumeama timu wao wamekuwa Yanga. Shida sana huu mji...
Katika hali ya kawaida mke huwa hamshtaki mmewe....
Ha ha hahaaaaa Zamaulid upo wewe, siye tumehama timu wao wamekuwa Yanga. Shida sana huu mji...
Full stop weka na kigogo.
Too low...
Haya yanaitwa maneno ya mkosaji...
No wonder mnaitwa Mambumbumbu FC...Wenzako wanachoangalia ni ubingwa na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF....Real Madrid wakifungwa na Atletico Madrid sio ishu...Man Utd akipigwa na Man City sio ishu...Arsenal akipigwa na Spurs sio ishu...Yanga hata tufungwe ngapi na Simba sio ishu...Tunachoangalia ni ubingwa..Tunayachukulia matokeo ya Simba sawa na timu nyingine...Tunachoangalia ni ubingwa tu na kupata ticket ya CAF...
As for Mambumbumbu FC, nyie mnachoangalia ni kuifunga yanga tu....Mburulaz
Hakuna updates humu zaidi ya majigambo tu, kwa mara ya mwisho nauliza ngapi ngapi ?
Jirani yangu ni simba damu kaja eti ili tusaidiane kuishangilia yanga nkamwambia mie Leo hata cwapend na nataman wafungwe tu. Basi kasepa
Jirani yangu ni simba damu kaja eti ili tusaidiane kuishangilia yanga nkamwambia mie Leo hata cwapend na nataman wafungwe tu. Basi kasepa
Leo umeonyesha unafiki..soka la Simba na yanga unalifananisha na Many, Madrid...huu Ni upumbavu Wa level ya juu sana...
sharks acha unafiki..
Dadangu leo umemfuata Steve Yanga kule Azam alikoenda
hahahahaah,,,,,,usinisemee.
1-1 hadi Sasa , mvua imechachamaa
Umenikumbusha kitu, unajua pale jangwani kumejaa mashabiki maandazi, leo wakishinda utawaona wakifungwa wanahamia Azam kumfuata ndugu yao Steve Yanga.