Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ha ha hahaaaaa Zamaulid upo wewe, siye tumehama timu wao wamekuwa Yanga. Shida sana huu mji...

Jirani yangu ni simba damu kaja eti ili tusaidiane kuishangilia yanga nkamwambia mie Leo hata cwapend na nataman wafungwe tu. Basi kasepa
 
Last edited by a moderator:
Too low...

Haya yanaitwa maneno ya mkosaji...

No wonder mnaitwa Mambumbumbu FC...Wenzako wanachoangalia ni ubingwa na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF....Real Madrid wakifungwa na Atletico Madrid sio ishu...Man Utd akipigwa na Man City sio ishu...Arsenal akipigwa na Spurs sio ishu...Yanga hata tufungwe ngapi na Simba sio ishu...Tunachoangalia ni ubingwa..Tunayachukulia matokeo ya Simba sawa na timu nyingine...Tunachoangalia ni ubingwa tu na kupata ticket ya CAF...

As for Mambumbumbu FC, nyie mnachoangalia ni kuifunga yanga tu....Mburulaz

Leo umeonyesha unafiki..soka la Simba na yanga unalifananisha na Many, Madrid...huu Ni upumbavu Wa level ya juu sana...
 
Jirani yangu ni simba damu kaja eti ili tusaidiane kuishangilia yanga nkamwambia mie Leo hata cwapend na nataman wafungwe tu. Basi kasepa

unabahati ni jirani angekuwa mwenye nyumba sasa hivi ungekuwa unawasiliana na dalali wa nyumba!
 
Leo umeonyesha unafiki..soka la Simba na yanga unalifananisha na Many, Madrid...huu Ni upumbavu Wa level ya juu sana...

Wewe ndiyo umeonyesha unafiki YANGA saresare maua na bayern munich wao wamebeba Kombe la 25 na sisi tumebeba kombe la 25 na wote tumechukua kabla ligi haijaisha. Nyie Majizi fc sijui mmebeba kombe gani kwa kumfunga yanga msimu huu
 
Dadangu leo umemfuata Steve Yanga kule Azam alikoenda

Umenikumbusha kitu, unajua pale jangwani kumejaa mashabiki maandazi, leo wakishinda utawaona wakifungwa wanahamia Azam kumfuata ndugu yao Steve Yanga.
 
Umenikumbusha kitu, unajua pale jangwani kumejaa mashabiki maandazi, leo wakishinda utawaona wakifungwa wanahamia Azam kumfuata ndugu yao Steve Yanga.

Na sio mechi hii tuu hadi mechi ya Azam na Mgambo tutaenda kwa Mkopo. Haiwezekani litimu ambalo kila msimu linapigwa faini za ushirikina likatuwakilishe nje ya nchi ni FEDHEHA KUBWA SANA NA AIBU
 
Back
Top Bottom